1 Samueli 15:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila mpaka Shuri, hadi mashariki ya Misri. Tazama sura |