1 Samueli 15:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Ndipo Sauli akamwambia Samweli, Nimefanya dhambi; maana nimeivunja amri ya BWANA, pia na maneno yako; kwa sababu niliwaogopa wale watu, nikaitii sauti yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Shauli akamwambia Samueli, “Nimetenda dhambi. Nimeasi amri ya Mwenyezi-Mungu na amri yako, kwa sababu niliwaogopa watu, nikawatii wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Shauli akamwambia Samueli, “Nimetenda dhambi. Nimeasi amri ya Mwenyezi-Mungu na amri yako, kwa sababu niliwaogopa watu, nikawatii wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Shauli akamwambia Samueli, “Nimetenda dhambi. Nimeasi amri ya Mwenyezi-Mungu na amri yako, kwa sababu niliwaogopa watu, nikawatii wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ndipo Sauli akamwambia Samweli, “Nimetenda dhambi. Nimevunja amri ya Mwenyezi Mungu na maagizo yako. Niliwaogopa watu na kwa hiyo nikafanya walivyotaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ndipo Sauli akamwambia Samweli, “Nimetenda dhambi. Nimevunja amri ya bwana na maagizo yako. Niliwaogopa watu na kwa hiyo nikafanya walivyotaka. Tazama sura |