1 Samueli 15:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mbona basi hukuitii sauti ya BWANA, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa nini hukumtii Mwenyezi Mungu? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa Mwenyezi Mungu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa nini hukumtii bwana? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa bwana?” Tazama sura |