1 Samueli 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Ngoja, nami nitakuambia neno aliloniambia BWANA usiku huu. Naye akamwambia, Haya, sema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Samweli akamwambia Sauli, “Ngoja! Nami nitakuambia lile Mwenyezi Mungu aliloniambia usiku huu.” Sauli akajibu, “Niambie.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Samweli akamwambia Sauli, “Ngoja! Nami nitakuambia lile bwana aliloniambia usiku huu.” Sauli akajibu, “Niambie.” Tazama sura |