Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Samueli 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 lakini Waisraeli wote hushuka kwa Wafilisti, ili kunoa kila mtu jembe lake, na mundu wake, na shoka lake, na sululu yake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hivyo Waisraeli wote waliteremka kwa Wafilisti ili kila mtu kunoa plau yake, jembe lake, shoka lake, au mundu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Hivyo Waisraeli wote huteremka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 13:20
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na katika miji ya Manase, Efraimu, na Simeoni, mpaka Naftali, akafanya vile vile; na katika maganjo yake pande zote.


Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.


Nikiunoa upanga wangu wa umeme, Mkono wangu ukishika hukumu, Nitawatoza kisasi adui zangu, Nitawalipa wanaonichukia.


Basi, hakukuwa mhunzi yeyote katika nchi yote ya Israeli; kwa kuwa Wafilisti walisema, Waebrania wasije wakajitengenezea panga au mikuki;


Na walilipa theluthi mbili za shekeli kunoa jembe na miundu, na theluthi moja ya shekeli kunoa mashoka na kuchonga michokoo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo