1 Samueli 12:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, yeye ndiye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha Samweli akawaambia watu, “Mwenyezi Mungu ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha Samweli akawaambia watu, “bwana ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri. Tazama sura |