1 Samueli 12:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana BWANA hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza BWANA kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kwa ajili ya jina lake kuu Mwenyezi Mungu hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Mwenyezi Mungu kuwafanya watu wake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kwa ajili ya jina lake kuu bwana hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza bwana kuwafanya kuwa wake mwenyewe. Tazama sura |
ila wakakataa kutii, wala hawakuyakumbuka maajabu yako, uliyoyafanya kati yao; lakini wakafanya shingo zao kuwa ngumu, na katika kuasi kwao wakaweka jemadari, ili wairudie hali ya utumwa; lakini wewe u Mungu, uliye tayari kusamehe, mwenye neema, mwenye huruma nyingi, si mwepesi wa hasira, u mwingi wa rehema, basi hukuwaacha.