1 Samueli 12:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Basi Samweli akamwomba BWANA, naye BWANA akatuma ngurumo na mvua siku ile; nao watu wote wakamwogopa BWANA sana, na Samweli pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kisha Samweli akamwomba Mwenyezi Mungu, na siku ile ile Mwenyezi Mungu akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi Mungu na Samweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kisha Samweli akamwomba bwana, na siku ile ile bwana akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana bwana na Samweli. Tazama sura |