1 Samueli 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, BWANA atakalolitenda mbele ya macho yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo Mwenyezi Mungu anaenda kulifanya mbele ya macho yenu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo bwana anakwenda kulifanya mbele ya macho yenu! Tazama sura |