Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Samueli 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Naye akawahesabu huko Bezeki; Waisraeli walikuwa elfu mia tatu, na Wayuda elfu thelathini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Shauli alipowapanga Waisraeli huko Bezeki akawa na watu 300,000 kutoka Israeli na 30,000 kutoka Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Shauli alipowapanga Waisraeli huko Bezeki akawa na watu 300,000 kutoka Israeli na 30,000 kutoka Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Shauli alipowapanga Waisraeli huko Bezeki akawa na watu 300,000 kutoka Israeli na 30,000 kutoka Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Sauli alipowakusanya huko Bezeki, wanaume wa Israeli walikuwa elfu mia tatu, na wanaume wa Yuda elfu thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Sauli alipowakusanya huko Bezeki, watu wa Israeli walikuwa 300,000 na watu wa Yuda 30,000.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 11:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa elfu mia nane wenye kufuta panga; nao wa Yuda walikuwa watu elfu mia tano.


Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote.


Wakuu wote wa makabila yote ya Israeli, wakahudhuria huo mkutano wa watu wa Mungu, wanaume elfu mia nne waendao kwa miguu, walio na silaha.


Nao wakawaambia hao wajumbe waliokuja, Waambieni watu wa Yabesh-gileadi, Kesho, wakati wa jua kali, mtapata wokovu. Basi wale wajumbe wakaenda, wakawaarifu watu wa Yabeshi; nao wakafurahi.


Basi Samweli akaondoka, akapanda kutoka Gilgali mpaka Gibea ya Benyamini. Naye Sauli akawahesabu watu waliokuwapo pamoja naye, wakawa kama mia sita.


Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari wa miguu elfu mia mbili na watu elfu kumi wa Yuda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo