1 Samueli 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na Roho ya Mungu ikamjia Sauli kwa nguvu, hapo alipoyasikia maneno yale, na hasira yake ikawaka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mara, Shauli aliposikia maneno hayo, roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu, naye akawaka hasira kali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mara, Shauli aliposikia maneno hayo, roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu, naye akawaka hasira kali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mara, Shauli aliposikia maneno hayo, roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu, naye akawaka hasira kali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Sauli aliposikia maneno yao, Roho wa Mungu akaja juu yake kwa nguvu, naye akawaka hasira. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Sauli aliposikia maneno yao, Roho wa Mwenyezi Mungu akaja juu yake kwa nguvu, naye akawaka hasira. Tazama sura |