1 Samueli 10:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali niambie, huyo Samweli aliwaambiaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” Tazama sura |