Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Samueli 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Naye alipokwisha kutabiri, alipafikia mahali pale pa juu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Shauli alipomaliza kutabiri, alikwenda mahali pa ibada juu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Shauli alipomaliza kutabiri, alikwenda mahali pa ibada juu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Shauli alipomaliza kutabiri, alikwenda mahali pa ibada juu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Baada ya Sauli kumaliza kutoa unabii, alienda mahali pa juu pa kuabudia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Baada ya Sauli kumaliza kutoa unabii, alikwenda mahali pa juu.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 10:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akajibu mtu mmoja wa mahali hapo, akasema, Na baba yao ni nani? Kwa hiyo ikawa mithali, Je! Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?


Basi babaye mdogo akamwuliza Sauli na mtumishi wake, Je! Mlikwenda wapi? Naye akajibu, Tulikwenda ili kuwatafuta hao punda; na tulipoona ya kwamba hawakuonekana, tulimwendea Samweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo