1 Samueli 1:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hivyo sasa ninamtoa kwa Mwenyezi Mungu. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Mwenyezi Mungu.” Naye akamwabudu Mwenyezi Mungu huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hivyo sasa ninamtoa kwa bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa bwana.” Naye akamwabudu bwana huko. Tazama sura |