1 Petro 5:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi. Tazama sura |