1 Petro 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema? Tazama sura |