1 Petro 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya, bali kama watumwa wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mwenyezi Mungu. Tazama sura |