Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Petro 2:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Tiini kila kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; iwe ni mfalme kama mwenye cheo kikubwa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya Bwana: Utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya Bwana: Utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya Bwana: utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, tiini kila mamlaka iliyowekwa na wanadamu: Awe ni mfalme kwani ndiye aliye na mamlaka ya juu zaidi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, tiini kila mamlaka iliyowekwa na wanadamu: Kwa mfalme kwani ndiye aliye na mamlaka ya juu zaidi,

Tazama sura Nakili




1 Petro 2:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mwovu hataki neno ila kuasi tu; Kwa hiyo mjumbe mkali atatumwa kwake.


Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;


Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa BWANA; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.


Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.


Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.


Akawaambia, Basi, vya Kaisari mpeni Kaisari, na vya Mungu mpeni Mungu.


Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.


Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa watawala na wenye mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema;


Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.


na hasa wale waufuatao mwili katika tamaa ya mambo machafu, na kudharau mamlaka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo