1 Petro 2:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mwenyezi Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema. Tazama sura |