1 Petro 1:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 lakini neno la Mwenyezi Mungu ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 lakini neno la Mwenyezi Mungu ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu. Tazama sura |