1 Mambo ya Nyakati 9:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 na ndugu zao, kulingana na vizazi vyao; watu mia tisa na hamsini na sita. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao, kwa kadiri ya mbari za baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 na ndugu zao, sawasawa na vizazi vyao; watu956. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa koo za baba zao, kwa kadiri ya koo za baba zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 na ndugu zao, sawasawa na vizazi vyao; watu956. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa koo za baba zao, kwa kadiri ya koo za baba zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 na ndugu zao, sawasawa na vizazi vyao; watu956. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa koo za baba zao, kwa kadiri ya koo za baba zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Watu kutoka Benyamini, kama walivyoorodheshwa katika koo zao, jumla yao walikuwa mia tisa na hamsini na sita (956). Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. Tazama sura |