1 Mambo ya Nyakati 9:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu mia sita na tisini (690). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. Tazama sura |