1 Mambo ya Nyakati 9:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Na mwana wa Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Yonathani alimzaa Merib-baali, Merib-baali akamzaa Mika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika. Tazama sura |