1 Mambo ya Nyakati 9:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Na Miklothi akamzaa Shimea. Hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Miklothi alimzaa Shimeamu. Wazawa wao waliishi Yerusalemu karibu na jamaa nyingine za koo zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. Tazama sura |