Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 9:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, na jina la mkewe aliitwa Maaka;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Yeieli alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni ambamo aliishi yeye pamoja na mkewe, jina lake Maaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni, naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 9:35
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.


Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Beth-suri.


Hao walikuwa wakuu wa koo za baba zao katika Walawi, katika vizazi vyao vyote, watu wakuu; nao walikuwa wakikaa huko Yerusalemu.


na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni; na Suri, na Kishi, na Baali, na Meri, na Nadabu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo