1 Mambo ya Nyakati 9:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Hao walikuwa wakuu wa koo za baba zao katika Walawi, katika vizazi vyao vyote, watu wakuu; nao walikuwa wakikaa huko Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Watu wote hawa waliotajwa walikuwa viongozi wa kabila la Walawi, kulingana na koo zao. Wao ndio viongozi walioishi Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Watu wote hawa waliotajwa walikuwa viongozi wa kabila la Walawi, kulingana na koo zao. Wao ndio viongozi walioishi Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Watu wote hawa waliotajwa walikuwa viongozi wa kabila la Walawi, kulingana na koo zao. Wao ndio viongozi walioishi Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa za Walawi, wakuu kama walivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa za Walawi, wakuu kama walivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. Tazama sura |