Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 9:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Na baadhi ya ndugu zao, wa wana wa Wakohathi, waliwajibika kusimamia mikate ile ya wonyesho, ili kuiandaa kila sabato.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Nao ndugu zao wengine wa ukoo wa Kohathi walikuwa na wajibu wa kutayarisha mikate ya wonyesho kwa ajili ya hekalu kila Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Baadhi ya ndugu zao wa koo za Wakohathi walikuwa viongozi wa kuandaa mikate ya Wonesho kwa ajili ya kila Sabato, mikate iliyokuwa inawekwa mezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Baadhi ya ndugu zao wa ukoo wa Kohathi walikuwa viongozi wa kuandaa mikate ya Wonyesho kwa ajili ya kila Sabato, mikate iliyokuwa inawekwa mezani.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 9:32
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.

Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.

Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo