1 Mambo ya Nyakati 9:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Na baadhi ya wana wa makuhani waliyatayarisha manukato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Lakini kazi ya kutayarisha manukato ilifanywa na makuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Lakini baadhi ya makuhani walifanya kazi ya kuchanganya vikolezo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Lakini baadhi ya makuhani walifanya kazi ya kuchanganya vikolezo. Tazama sura |