Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 9:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Zekaria, mwana wa Meshelemia, alikuwa bawabu mlangoni pa ile hema ya kukutania.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Zekaria mwana wa Meshelemia, pia alikuwa mlinzi wa maingilio ya hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 9:21
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kura ya lango la mashariki ikamwangukia Meshelemia. Ndipo wakamtupia kura Zekaria mwanawe, mshauri mwenye busara; na kura yake ikamtokea ya kaskazini.

Naye Meshelemia alikuwa na wana; Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo