Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 9:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; watu elfu moja na mia saba na sitini; watu wenye ujuzi waliofaa sana kwa kazi ya huduma ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 wakuu wa koo za baba zao; pamoja na ndugu zao; jumla watu 1,760. Walikuwa wakuu wenye uwezo mkubwa katika huduma yote ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa elfu moja na mia saba na sitini (1,760). Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 9:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Katika Wahebroni, Hashabia na nduguze, mashujaa, elfu moja na mia saba, walikuwa na usimamizi juu ya Israeli ng'ambo ya Yordani upande wa magharibi; kwa ajili ya kazi zote za BWANA, na kwa utumishi wa mfalme.


Na nduguze, mashujaa, walikuwa elfu mbili na mia saba, wakuu wa koo za mababa, ambao mfalme Daudi aliwaweka wawe wasimamizi juu ya Wareubeni, na Wagadi, na nusu kabila la Wamanase, kwa ajili ya kila neno lililomhusu Mungu, na kwa mambo ya mfalme.


Naye mwanawe Shemaya akazaliwa wana, walioongoza ukoo wa baba yao; kwa kuwa walikuwa wanaume mashujaa.


na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya; na Maasai, mwana wa Adieli, mwana wa Yazera, mwana wa Meshulamu, mwana wa Meshilemithi, mwana wa Imeri;


Na katika Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari;


na ndugu zao, wanaume mashujaa, watu mia moja na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo