1 Mambo ya Nyakati 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na Shaharaimu akazaa watoto katika Bara-Moabu, baada ya kuwafukuza wakeze Hushimu na Baara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Shaharaimu aliwapa talaka wake zake wawili, Hushimu na Baara na baadaye alipata watoto wa kiume nchini Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Shaharaimu aliwapa talaka wake zake wawili, Hushimu na Baara na baadaye alipata watoto wa kiume nchini Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Shaharaimu aliwapa talaka wake zake wawili, Hushimu na Baara na baadaye alipata watoto wa kiume nchini Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani Hushimu na Baara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara. Tazama sura |