Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera, baba yake Uza na Ahihudi, ndiye aliyewaongoza kuchukua hatua hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera ndiye aliwapeleka uhamishoni, na alikuwa baba yao Uza na Ahihudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 8:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ndio wana wa Ehudi. (Hao ndio wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Geba; nao wakawachukua mateka mpaka Manahathi;


Na Shaharaimu akazaa watoto katika Bara-Moabu, baada ya kuwafukuza wakeze Hushimu na Baara.


pamoja na Ahiya, mwana wa Ahitubu nduguye Ikabodi, mwana wa Finehasi, mwana wa Eli, kuhani wa BWANA huko Shilo, aliyevaa naivera. Tena hao watu hawakujua ya kwamba Yonathani ameondoka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo