1 Mambo ya Nyakati 8:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Mosa alimzaa Binea, aliyemzaa Rafa, aliyemzaa Eleasa, naye Eleasa akamzaa Aseli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Mosa akamzaa Binea; Refaya alikuwa mwanawe Binea, Eleasa mwanawe Refaya, naye Aseli mwanawe Eleasa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. Tazama sura |