1 Mambo ya Nyakati 8:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. Tazama sura |