1 Mambo ya Nyakati 8:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 na Miklothi aliyekuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. Tazama sura |