1 Mambo ya Nyakati 8:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, ambaye jina la mkewe aliitwa Maaka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yeieli, alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni. Mkewe alikuwa Maaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yeieli, alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni. Mkewe alikuwa Maaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yeieli, alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni. Mkewe alikuwa Maaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka. Tazama sura |