1 Mambo ya Nyakati 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu, Tazama sura |