1 Mambo ya Nyakati 7:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao, katika vizazi vyao, wakuu wa koo za baba zao, watu hodari wa vita, jumla yao watu elfu ishirini na mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Waliandikishwa kwa koo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na idadi ya wazawa wao ilikuwa 20,200, wote wakiwa mashujaa wa vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji elfu ishirini na mia mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200. Tazama sura |