1 Mambo ya Nyakati 7:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na wana wa Bela; Esboni, na Uzi, na Uzieli, na Yerimothi, na Iri, watano; wakuu wa koo za baba zao, watu hodari wa vita; nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao watu elfu ishirini na mbili na thelathini na wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Bela alikuwa na wana watano: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na wanajeshi mashujaa. Walioandikishwa kwa kufuata koo, idadi ya wazawa wao ilikuwa 22,034. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Bela alikuwa na wana watano: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na wanajeshi mashujaa. Walioandikishwa kwa kufuata koo, idadi ya wazawa wao ilikuwa 22,034. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Bela alikuwa na wana watano: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na wanajeshi mashujaa. Walioandikishwa kwa kufuata koo, idadi ya wazawa wao ilikuwa 22,034. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wana wa Bela walikuwa: Esboni, Uzi, Uzieli, Yerimothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa elfu ishirini na mbili na thelathini na wanne (22,034). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wana wa Bela walikuwa: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Watu wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa 22,034. Tazama sura |