1 Mambo ya Nyakati 7:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu elfu themanini na saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikishwa kwa kufuata koo, walikuwa 87,000, na wote walikuwa mashujaa wa vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Jamaa waliokuwa wapiganaji kutoka koo zote za Isakari, kama walivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa elfu themanini na saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000. Tazama sura |