Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Na pamoja nao, katika vizazi vyao, kulingana na koo za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu elfu thelathini na sita; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kwa vile ambavyo wake na watoto wao walikuwa wengi sana, mliweza kupatikana vikosi vya wanajeshi 36,000 kutokana na wazawa wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu elfu thelathini na sita waliokuwa wamejiandaa kwa vita, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 7:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.


Na wana wa Uzi; Izrahia; na wana wa Izrahia; Mikaeli, na Obadia, na Yoeli, na Ishia, watano; wote wakuu.


Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu elfu themanini na saba.


Tena, ng'ombe walikuwa elfu thelathini na sita; na katika hao kodi ya BWANA ilikuwa ng'ombe sabini na wawili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo