1 Mambo ya Nyakati 7:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na dada yao, Shua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. Tazama sura |