Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 7:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Na wana wa Beria; Heberi, na Malkieli, aliyekuwa babaye Birzaithi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Beria alikuwa na wana wawili: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Beria alikuwa na wana wawili: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Beria alikuwa na wana wawili: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 7:31
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.

Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera.

Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na dada yao, Shua.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo