1 Mambo ya Nyakati 7:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Tazama sura |