1 Mambo ya Nyakati 7:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Naye akamwingilia mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu maafa yalikuwa yameipata nyumba yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita jina Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake. Tazama sura |