1 Mambo ya Nyakati 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuwapokonya ng'ombe wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyanganya mifugo yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyanganya mifugo yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyang'anya mifugo yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eladi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wameenda huko kuwanyang’anya mifugo yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eleadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyang’anya mifugo yao. Tazama sura |