1 Mambo ya Nyakati 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Hao wote ndio wana wa Yediaeli, kulingana na wakuu wa koo za baba zao, watu hodari wa vita, elfu kumi na saba na mia mbili, wawezao kwenda vitani katika jeshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wote hawa walikuwa wakuu wa jamaa katika koo zao na askari mashujaa wa vita. Kutokana na wazawa wao, kulipatikana wanaume 178,200, wanajeshi hodari tayari kabisa kwa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wote hawa walikuwa wakuu wa jamaa katika koo zao na askari mashujaa wa vita. Kutokana na wazawa wao, kulipatikana wanaume 178,200, wanajeshi hodari tayari kabisa kwa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wote hawa walikuwa wakuu wa jamaa katika koo zao na askari mashujaa wa vita. Kutokana na wazawa wao, kulipatikana wanaume 178,200, wanajeshi hodari tayari kabisa kwa vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwa na wapiganaji elfu kumi na saba na mia mbili waliokuwa tayari kwa vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. Tazama sura |