1 Mambo ya Nyakati 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Na wana wa Isakari; Tola, na Puva, na Yashubu, na Shimroni, wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Wana wa Isakari walikuwa wanne: Tala, Pua, Yashubu na Shimroni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Wana wa Isakari walikuwa wanne: Tala, Pua, Yashubu na Shimroni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Wana wa Isakari walikuwa wanne: Tala, Pua, Yashubu na Shimroni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wana wa Isakari walikuwa: Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wana wa Isakari walikuwa: Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne. Tazama sura |