Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 6:78 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

78 na ng'ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila la Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

78 Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

78 Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

78 Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

78 Kutoka kabila la Reubeni, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko, walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

78 Kutoka kabila la Reubeni, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa,

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 6:78
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nao mabaki ya Walawi, wana wa Merari, wakapewa, katika kabila la Zabuloni; Rimona pamoja na viunga vyake, na Tabori pamoja na viunga vyake;

na Kedemothi pamoja na viunga vyake, na Mefaathi pamoja na viunga vyake;

Tena ng'ambo ya pili ya Yordani pande za Yeriko upande wa kuelekea mashariki wakaweka Bezeri ulioko nyikani, katika nchi tambarare ya kabila la Reubeni, na Ramothi katika Gileadi katika kabila la Gadi, na Golani katika Bashani katika kabila la Manase.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo