1 Mambo ya Nyakati 6:77 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC77 Nao mabaki ya Walawi, wana wa Merari, wakapewa, katika kabila la Zabuloni; Rimona pamoja na viunga vyake, na Tabori pamoja na viunga vyake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema77 Jamaa za Merari zilizosalia, zilipewa miji ifuatayo pamoja na malisho yake kandokando ya miji hiyo: Katika kabila la Zebuluni walipewa Rimono pamoja na malisho yake na Tabori pamoja na malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND77 Jamaa za Merari zilizosalia, zilipewa miji ifuatayo pamoja na malisho yake kandokando ya miji hiyo: Katika kabila la Zebuluni walipewa Rimono pamoja na malisho yake na Tabori pamoja na malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza77 Jamaa za Merari zilizosalia, zilipewa miji ifuatayo pamoja na malisho yake kandokando ya miji hiyo: katika kabila la Zebuluni walipewa Rimono pamoja na malisho yake na Tabori pamoja na malisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu77 Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: kutoka kabila la Zabuloni, walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu77 Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: kutoka kabila la Zabuloni walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. Tazama sura |